A

A

BREAKING NEWZZZZZ SOKO LA KARUME LINATEKETEA MUDA HUUU

 
Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata.
Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.

Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.

Nguzo za umeme zinaungua pia. 
Picha zaidi Kukujia

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako