Zaidi ya mistari mitano ya magari yanayoenda upande mmoja imetumika kupunguza foleni barabara ya morogoro eneo la Jangwani
kutoka
faya kuelekea magomeni majira ya saa mbili usiku huku njia moja
ikitumika kwa magari yanayoenda mjini jamba ambalo baadhi ya wananchi
walioongea na ITV wameonesha kutoridhishwa na hatua hiyo ya muda mfupi
na kusisitiza Serikali itafute ufumbuzi wa kudumu.