YALIYOTOKEA JANA NI AIBU...
Sorry to say ila Siamini kama Wanawake wanaweza kukosa akili kwa kiwango
hiki...Nilijua Maturity ya Wanawake comes with age lakini nadhani I was
wrong!
Kugombea Babe Ake kwenye Social Media kuprove Mchepuko NDIO DILI....NGACHOKA MIE