WEMA NA DIAMOND WAPEANA MAHABA LIVE BARABARANI..DENDA NJE NJE
Wema Sepetu na Mpenzi wake Diamond
Platnumz walionekana maeneo ya Bamaga wakipeana mahaba niuwe live live ,
Wema alikuwa nje ya gari huku diamond akiwa ndani ya gari Wema alikuja
Dirishani na Diamond kuanza kumshika Sehemu za Makalio kabla ya kumvuta
na kuanza kudendeka live live huku watu wakishuhudia tukio
hilo....Mtajajiju wale wa Team naniino....Team Wema Mpo?