Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma
wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu
ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni
mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia
yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
Mwanafunzi huyo anayetumia Ac Feki ya Instar anaposti picha za wanafunzi wenzake na kuwaponda kuwa ni malaya wanaouza K.... pamoja na kuwachafua wengine kuwa ni mashoga. Baadhi ya wanafunzi walio wengi wa CBE wamechukizwa na kitendo hicho cha kuchafuliwa bila sababu yoyote na wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina LEE_IN_BOY