SIRI IMEFICHUKA... ZICHEKI SMS ZA MAPENZI KATI YA KAJALA NA ALIEKUWA BWANA WA WEMA SEPETU. SOMA HAPA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida meseji za Aliyekuwa mpenzi wa zamani
wa Wema Sepetu, Clement na aliyekuwa rafiki kipenzi Wa Wema, Kajala
Masanja zimevuja jinsi walivyokuwa wanawasiliana, na aliyeziweka wazi
meseji hizi ni Naima. Soma hapo chini na jinsi raia walivyofunguka
huko Instagram