Askari Polisi wa Kike (kushoto) ambaye jina
lake hakikuweza kufahamika mara moja akimwesha juisi, mtoto wa kike
mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) aliyekuwa amefungiwa
ndani ya chumba kwa kipindi cha muda wa miaka minne na kukaa ndani ya
boksi kwenye nyumba iliyopo Mtaa wa Azimio, Kata ya Kiwanja cha Ndege,
Manispaa ya Morogoro, (w apili kushoto) ni mama mlezi Mariam Said ( kati
kati), ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi na (kulia) ni baba
mlezi wa mtoto, Mtonga Omary, hapa walikuwa wakitoa maelezo mbele ya
Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungamtitu (hayupo
pichani). |