Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini
Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya
Kusini leo Mei 24, 2014
Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika
jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa
kwake leo Mei 24, 2014
PICHA NA IKULU