Irene Uwoya Amlilia Adamu Kuambiana, Aweka Message Walizochat Kabla Hajafariki
Irene Uwoya Ameguswa sana na Kifo cha Adamu Kuambiana na Kuonyesha
machungu aliyonayo kupitia Instagram kwa Kupost jinsi anavyojisikia
baada ya kifo chake pamoja na kuweka masage walizochat kabla hajafariki
hii inaonyesha ni jinsi gani walikuwa karibu