Hakika ilikuwa ni kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mwenyez mungu
ametufanyia wepesi na hatimaye kufanikisha... Nawashkuru sanasana
Mashabiki zangu wote kwakuwa nyie ndio mlionipa tuzo hizi kupitia kura
zenu... Family, uongozi wangu.. bila kuvisahau vyombo vyote vya habari
vilivyo fanya kazi zangu zisikike kila kona... Niwashkuru pia wasanii
wenzangu, kwakuwa naamini wote walifanya kazi nzuri na ndiomaana wote
tukawa pale ila kwakuwa mshindi ni mmoja, ikatokea kuwa bahati
yangu...Ahsanteni sana, cha mwisho nnachoweza kusema tu ni kwamba (Tika!
Tika!) yaani (Saba saba) Nomination 7 Tunzo 7...! tuhamieni MTV Awards
tuilete Heshima nyumbani sasa