Baada ya kumaliza shughuli hii huku
akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12
jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam
maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye
pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini
akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa marehemu
umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae
asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza.