Taarifa kutoka Nairobi kwa sasa nimeambiwa kuwa Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wamewandamana na biashara hazifanyiki na barabara kuu zinazoingia na kutoka Nairobi zimefugwa kwa muda.
Kwa sasa polisi wanaidhibiti hali hiyo ambapo wanafunzi katika barabara ya University way wanapiga mawe magari yanayoingia na kutoka katika jii hilo,wanafunzi wa vuo vikuu vya umma nchini Kenya wameanza kugoma leo kama kupinga kuongezwa karo mara dufu.