Bilionea na Mmiliki wa MAN CITY Live Picha ya Kwanza akisherekea Ubingwa wa timu yake
Wakisherekea
ushindi wa Man City na keki ya aina yake- Sheikh Mohammed, wa familia
ya Kifalme ya Dubai, akiwa na Sheikh Mohammed, Saif, Mansour na Abdullah
bin Zayed. Picha kutoka kwenye twitter ya @HH Sheikh Mohammed