A

A

WEZI WALIVYO FANYWA SINZA KUMEKUCHA:PICHA ZAIDI YA 20 MBAYA SANA LA TUKIO LA HAWA WEZI 2...MUNGU TUSAIDIE


Pichani ni mmoja ya wezi akionesha kitu flani eneo la tukio leo sinza kume kucha.


Wezi wakiwa chini wakila kichapo cha kimya kimya toka kwa wananchi.

Mwizi akijitetea kuwa ni mpita njia jamani mimi ni mpita njia ‘’’’ tulia wewe tumewachoka alisikika sauti ya kike .

Dada kwa na huruma

Jamaa waliwapa mapumziko kidogo wezi hao.

Polisi wakiwachukua wezi hao baada ya kula kichapo na mateso kwa masaa mawili






Wananchi wakipeana umbea kwa walio kuwepo na wasio kuwepo kila mtu anasema lake




Kikopo ambacho killichafuka na kujaa damu ya mmoja kati ya wezi hao


Eneo ambalo walichapika wezi ha oleo


Tukio hili limetokea leo majira ya saa kumi na mmoja asubui maeneo ya sinza kumekucha maarufu kwa jina la DR cool production. Wezi hao walitaka kubomoa duka bila mafanikio ndibo walipo kamamatwa na kujitaidi kukimbia uku wakijikuta wamesha kamatwa kutikana wingi wa watu walio kuwa wakiwai makazini mda huo kutokana kuwai usafiri , hadi tunatoka eneo la tukio wezi hao walipelekwa kituo cha polosi huku wakiwa wazima japo wamechapika mbaya