Huyu nimiongoni mwa kinadada wanaoishi mjini kutokana na maumbile
yao....hutumia social media kama facebook, instagram nk ..kukuza brand
zao.. we call them SOCIALITE....Huyu ni simwingine bali ni VERA SIDIKA
kutoka Nairobi Kenya...Hapa hivi juzi ameonekana na Prezoo sasa sijui ni
kibizinesi zaidi au kaka yetu amekamatwa!!!........