A

A

Unaweza kutumia dakika 4 kuangalia video mpya kutoka kwa TID ft Pro Jay


12 
Ni wakati mwingine TID ametoa new video ya wimbo ambao aliwahi ku-tease kwenye video yake iliyopita.
Hii video ina dakika 4 na sekunde 26 unaweza kuzitumia kuangalia kitu kipya kutoka kwa TID.