“How time fly’s, My baby girl has
become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya
mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka
kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa
Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?
P-Funk anmtoto wa kike mwingine aliye zaa na kajala anaitwa Paulette
Paulette(kulia) akiwa na Mdogo wake aliyebebwa kushoto ni Victoria Kimani akiwa na Meneja wake