Catherine shawa mamaa Ya sembe , sister duu muuza sembe aliebakia baada
Ya beach baby kukamatwa (jacky Cliff) na walikua mabeste kabla Ya ugomvi
wao maana Catherine ndio alimpa mchongo jacky baada Ya jacky na jacky
akashika usukani vizuri tenda nyingi alikua anapewa yeye wivu kidonda
ndio makwaruzano yakaanza wakawa paka na chui ila enzi zao walikua poa
sana ... Harafu jamani hawa wauza sembe mademu wanapenda sana kujiita ma
boss lady hahaha ni shiiida!! Na shooping zao ni CL, LV magucci yaani
wao na majina tu na kuringishia pesa ... Catherine nakupenda tulia tu
umlee mwanao sasa Leo ukishikwa maana njia zote zinakaba yaani pamekua
pagumu sasa ukienda jela jamani mwanao atalelewa na nani na hivi baba
mwenyewe haonekani hizo safari ulizoenda zinatosha tulia ufungue
biashara au ndio pesa Za shetani hua hazikai ?? Trip Za Ghana, Nigeria,
brazil zinatosha mama ... Si unaona mjin sasa hivi hapafai kabisa !
Fanya mambo basi hata baadae uje usemw kweli niliuza unga dondosha
mjengo , hizi CL ni mpito tu ukishavaa mara mbili tatu hutaki tena ila
Nyumba ni asset Ya kudumu.....Agness Masogange sasa hivi katulia hata
fujo Za kuonyeswha pesa hana sasa hivi tunaonyeshwa makalio tuuu...
Source:Team UkwelinaUwazi ..Intagram
Source:Team UkwelinaUwazi ..Intagram