Pamoja
na kikosi chake cha Mwadui kushinda mabao 2-1 katika mechi ya Ligi
Daraja la Kwanza dhidi ya Polisi Dodoma lakini Mwadui imeshindwa kupanda
Ligi Kuu Bara.
Ushindi huo uliifanya Mwadui inayonolewa na Julio kufikisha pointi 31 ambazo zingeipandisha lakin Stand United iliyoshinda mabao 2-1 dhidi ya Toto Afrika, ikafikisha pointi 29.
Lakini mwisho kabisa, Stand United ikabebwa na
rufaa yake dhidi ya Kanembwa ikafikisha pointi 32, na moja kwa moja ikapanda Ligi Kuu Bara.Ushindi huo uliifanya Mwadui inayonolewa na Julio kufikisha pointi 31 ambazo zingeipandisha lakin Stand United iliyoshinda mabao 2-1 dhidi ya Toto Afrika, ikafikisha pointi 29.
Lakini mwisho kabisa, Stand United ikabebwa na
Kama si rufaa, Julio alikuwa amerejea Ligi Kuu Bara, hali iliyofanya uongozi wa Mwadui kulalama kuhusiana na pointi hizo za rufaa.
KARIBU LIGI KUU STAND UNITED. .