Ufafanuzi wa Askofu wa Methodist kuhusu 'kauli ya Lukuvi' - Audio
Iliyopachikwa hapo chini ni audio yenye taarifa ya TBC ikimhoji mmoja wa
viongozi wa Kanisa la Methodist Tanzania, Askofu Byamungu Matthew
kuhusu kauli anayotuhumiwa kuitoa Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi
mbele ya waumini wa moja ya kanisa hilo huko mkoani Dodoma.