A

A

TASWIRA ZA AJILI YA HELICOPTER ILIYO HUSISHA MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, KOVA, MKUU WA MKOA WA DAR NA DK. MAGUFULI.


Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wamenusurika kufa mara baada ya helikopta ya jeshi waliyokuwa wakitumia kwaajili ya kuzunguka kujionea athari ya mafuriko iliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar Kuanguka katika Uwanja wa ndege wa jeshi uliopo jijini Dar Es Salaam. Imedhibitishwa ni kweli kupitia TBC walio nusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini
Habari zaidi zitaendelea kuwajia