Jana kupitia mtandao wa kijamii
Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua
maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo.
leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na k