Kwa mujibu wa
mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya
alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidi
kufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno
ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe
sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!
DVJ Huntuer katika pozzzz!
DVJ Hunter katika moja na mbili..!