Si
mnajifanya kuwa na haraka nyinyi nigongeni basi kama mnaujanja traffic
akiwa amesimama mbele ya dala dala zilizo kuwa zina haraka na kuvunja
sheria bila kufata utaratibu wa jinsi ya kula vichwa. Bongo hiyo dala
dala zina kula vichwa bila utaratibu wa kituo na kituoa na kwa
kuchomikeana, traffic akasema sasa ngoja niwachomeshe mahindi na haraka
zetu za kuto kujari hata usalama wa abiria wenu. Ukodak kutoka kwa Mfoto
huu!
