Baada
ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa
Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye
Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji wa Kike.....Kama
haitoshi Mwimbaji huyu baada ya kufanya kazi na Diamond Studio Moja
Ametoa ya Moyoni na Kumsifu kuwa Diamond ni kijana mwenye nidhamu kubwa
ya Kazi yake .....Hii ndio Message aliyo andika Waje
“Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. #africanlegendsmakingmusic @diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour,” ameandika Waje kwenye Instagram.
-John K
