Tangu mtandao
huu uwe mstari wa mbela kupiga vita tabia mbaya kwa wasichana mbalimbali
kuacha kupiga picha za aibu kwenye jamii na kutoa picha kadhaa kwenye
mtandao hadi kupelekea wasichana wengi kupunguza kama si kuacha kabisa
lakini hali imeanza kurudi upya ambapo msichana mmoja ambae inadaiwa ni
mwanamuziki wa nyimbo za injili kufyatua picha za aibu na kuziachia
kwenye mitandao kwa lengo la kutafuta wanaume.
Hapa Natasha akiwa na nguo za heshima kwenye jamii.
Kwa mujibu wa
chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha anaeishi
maeneo ya KAWE jijini Dar alisema kuwa picha hizo zimesambaa mitandao na
mtu aliyezisambaza ni yeye mwenyewe ambapo ziko nyingine mbaya zaidi
ambazo msichana huyo anaonekana kujipapasa sehemu zake nyeti kwa lengo
la kuwatia mshawasha wanaume dhaifu.
KUMRADHI KWA PICHA HII:Natasha akipiga picha za aibu makusudi ili kumtumia mwanaume yeyote atakaevutiwa nae ili amnunua.