MKALI
wa zilipendwa wa staili ya TAKEU,Nice Mkenda’’Mr.Nice’alinusurika kufa
katika ajali ya bajaji ijumaa iliyopita usiku ambapo alikuwa na rafiki
yake aitwaye Patric alifariki duni katika ajali ile,huku Mr.Nice
akikimbizwa katika hospitali ya Mwananyamala na kuruhusiwa na sasa yupo
kwa bibi yake maeneo ya Kibamba akipumzika.Habari zinasema kuwa marehemu
Patrick enzi za uhai wake alikuwa Baunsa wa Escape 1,na atazikwa
kijijini kwao mchana huu. Clouds fm imezungumza na ndugu wa marehemu
Patrick.