A

A

MNYONGE MNYONGENI KUMBE UWANJA WA NDEGE WA KIGALI NI BORA 7 ZA AFRIKA SOMA HAPA LIVE!!





Uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kigali nchini Rwanda umetajwa
miongoni mwa viwanja 7 bora za
ndege barani Afrika,

na ulio mzuri
zaidi katika kanda ya Afrika mashariki
na kati.
Hii ni kulingana na ripoti ya hivi
punde, ya shirika la Skytrax la
Uingereza.
Ripoti hii kwa mujibu wa Skytrax ni
kwamba ilitolewa ikizingatia
huduma, katika viwanja vya ndege.
Mkurugenzi wa mauzo katika
kampuni hiyo ya Skytrax Peter Miller,
anasema uwanja huo umekuwa
ukifanyiwa ukarabati na kuimarishwa
kwa huduma kila wakati jambo
ambalo limeupa alama zaidi ya
viwanja vyote katika kanda hii.
Tangu mwaka wa 2008 uwanja huo
umefanyiwa upanuzi, na kuongeza
idadi ya abiria wanaoutumia kwa
asilimia 53, kutoka abiria 263,264
mwaka huo adhi abiria 600,000 kwa
sasa.