A

A

MANAIKI SANGA AONYESHA JEURI YA PESA ..CHEKI GARI LA KIFAHARI ALILO NUNUA AINA YA RANGE ROVER

 Manaiki Sanga" The Don" Akiwa mbele ya  gari inayodaiwa kuinunua hivi karini

  Manaiki Sanga" The Don" Akiwa mbele ya  gari inayodaiwa kuinunua hivi karini

  Manaiki Sanga" The Don" Akiwa na baunsa wake anaemlinda kwa sasa aliyefahamika kwa jina la Ramadhani MDUDU. Ambe katika taarifa iliyotolewa kwenye mtandao wa msanii huyo kuwa baunsa huyo amekuwa akimlipa hela ndefu kushinda ile anayolipwa baunsa wa Diamond.

  Kushoto ni Muhindi wa Masogange aliyefahamika kwa jina la Prince Kass akiwa na baunsa wa Manaiki Sanga
  Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiiyokuwa ya kawaida na kushtu baada ya kupotea kwa muda na kukimbilia nchini Kenya msanii Manaiki Sanga maarufu kama Manaiki Fuska ameshuka nchini na kuanika gari inayodaiwa ni yake aina ya Range Rover Sport.
Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa kijamii nchini umetoa picha Manaiki akiwa na mkoko wake huo mpya huku akilindwa na baunsa wake ambae ni mtanzania anaeishi nchini Kenya.
Manaiki Sanga ambae ni mtoto wa kigogo mmoja mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Hotel zote za Itumbi Tanzania zinazopatikana mikoa yote pamoja na King Palace Hotel inadaiwa baada ya kashfa kubwa iliyomkumba ya kutembea ya wanawake zaidi ya mia nne kisha kuwapiga picha nchini Jijini Dar familia yake iliamua kumuondoa nchini na kwenda kuishi Kenya hadi soo hilo lipungue.
Hata hivyo chanzo chetu kiliendelea kueleza kuwa Manaiki Sanga kwa sasa anafanyabishara licha ya kupewa jukumu la kusimamia bishara za babaake lakini mwenyewe amekuwa akisafiri sana nje ya nchi.
Hata hivyo Manaiki mwenyewe hakuweza kupatikana n