Baadhi
ya Ndugu, Jamaa Marafiki pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam wakiwa katika Ibada ya Kumuaga Marehemu Neema Mwakajwaga
aliyepata ajali ya Gari juzi eneo la ubungo
Muongoza
Ibada akiendelea kuongoza Ibada hiyo ya Kumuaga Marehemu Neema
Mwakajwanga aliyekuwa Mwanafunzi wa Education Chuo kikuu cha Dar es
salaam, Aliyefariki Juzi kwa Ajali ya Gari.
Endelea Kufuatilia Hapa