Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.
Hali ya Ukumbi Ulivyo kuwa Leo ambapo Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini na ustaarabu wa hali ya juu.
Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini.
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog