urembo
ni kitu cha kawaida kwa kila mwanamke kwani daima mwanamke aliumbwa
kupendeza lakini pia mwanamke amekuwa msaada mkubwa katika kuletea usafi
katika jamii ujio pia wa mitandao ya kijamii umesaidia sana wanawake
kuingia kwenye ushindani wa kushindanisha maumbo yao kwa kuweka picha
katika mitandao hiyo angalia picha hizi za penny uongo wanini kapendeza
|