Huyu
ni queen video maarufu sana hapa Bongo na amekuwa akihusishwa naskendo
mabalimbali. zikizidi kumpaumaarufu wa kutisha. Hivi karibuni Agness
masognge amesepa zake kwena South akiwaacha watu midomo wazi nini tena
kinachompeleka huko na wakati alishakamatwa na Madawa..
katika chunguzi zetu tumegundua nyuma ya pazia kuna Jamaa huyu ambaye ndiye anayemfanya Masogange aishi mjini....
katika chunguzi zetu tumegundua huyu ndiye muhiska anayemiliki mzigo huu... Picha hizi hapo chini..