Kumekuwa na kamtindo ka
wasanii wetu hapa TZ kuweka picha ya vitu wanazonunua online na wengine
kuweka kwa ajili ya mauzo ili wapate cha kuongelewa na mashabiki wa hapa
bongo. Mwanadada anayefanya poa kwnye tasnia ya uigizaji Wastara Juma
amewaweka mashabiki wake katika hali ya kutokujua baada ya kuweka picha
akiwa ndani ya gari Aina ya HUMMER na kuzua maswali kwa mashabiki
wakiuliza ni lake au si lake.
Wapowaliyompa hongera kama gari ni lake na wapo waliyomponda na kusema anatafuta kick.
Wastara akiwa ndani ya hummer |
----Swahilitz