Wanasema ni rapper aliyewahi kuwa na wapenzi wazuri sana ila hakujua thamani yao mpaka walipomwacha na sasa anajiita Single Boy.
Mfuatiliaji mzuri wa habari za burudani utafahamu kuwa hivi karibuni
rapper Nelly ameachwa na mabinti wawili wakali ambao ni Ashanti na
LaShontae Heckard huku Ashanti akiwa na mahusiano mengine na LaShontae
Heckard ameanzisha mahusiano na Brandon Jennings. Tatizo linalopelekea
mabinti hawa kumbwaga rapper huu ni kwamba eti Nelly hawezi kuwa na
mahusiano ya muda mrefu na binti moja.
Jana usiku Nelly a,eweka picha ya mwili wake uliojengeka na kusema kuwa yuko 100% Single.
Sasa kumbe Nelly alikasirika baada ya kuona
picha ya aliyekuwa mpenzi wake LaShontae Heckard akimpa busu boyfriend
wake mpya Brandon Jennings.