Sijui
unaweza ukaitafsiri vipi hii lakini katika tafsiri ya kawaida utabaini
kuwa viongozi wa afrika hawataki kutoka kwenye uongozi ukweli ni kwamba
kuna mkwanja mrefu huko cheki hii
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu
aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya
mwanae wa kike wa kwanza,Faith iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre leo.
Ukiachana na mzee Goodluck kutapika simu hizo zenye gharama kwa
wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA.
wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA.
Kama
ambavyo zilikuwa zimeandikwa kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni
ndoto kwao kumiliki simu hii lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia
zawadi hii mhimu simu ambayo kila mtu anatamani kuimiliki
Simu yenyewe ndio hii hapa kiukweli kama una bahati mbaya hubahatiki kabisa