DIDA "HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY HUSBAND EDZEN"
Mahaba mahabani watu wameongea na siku
zinaendelea penzi lao ndio kwanza linaanza kumea, Happy Birthday Ezden
ni bonge la party lilioshushwa nae mama DIDA wa ukwee, im happy for u
Dida n God bless you n ya marriage jamani tunajitaji mtoto sasa
lolest...