Hii
itakua ni video ya kwanza kwa ndugu wa damu Diamond Platnumz na Queen
Darleen kuonekana kwenye video moja ambayo ni video ya Queen Darleen ya
wimbo wake wa Wanatetemeka,uzinduzi wa video hii utakuwa ni April 06
Club Bilicanas.
Miongoni mwa wasanii wa bongo flava watakaosindikiza uzinduzi huu ni
pamoja na Dully Sykes,Mwasiti,M-Rap, Pimp
Sitta,Recho,Linah,Barnaba,Amini na wengine wengi kama surprise kwenye
Show hiyo pia kutakuwa na support ya wasanii wa bongo movie akiwemo
Jackline Wolper na Rado.Bonyeza play kucheki video hiyo ilivyokuwa inatengenezwa.