BASI UNAAMBIWA HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA ZAKE HAPA
CYNTHIA MASASI (TANZANIA)
Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake
Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini
Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha,
Rick Ross na
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft
Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see
it ya Young Joc.