Instagram kumechafuka, yani watu wanatukana wanavyojisikia, hawaogopi
kitu chochote kile. Matusi hayo yamemkuta kajala, katukaniwa mtoto wake
hadi kashindwa kukaa kimya. Hiki ndo alichokiandika Instagram kuhusiana
na ishu hiyo. nadhani kila binadamu anaufanya kitu anacho penda lkn kama
nyinyi wote mnaona mm ninacho fanya nakosea siwezi kuwaraumu nawaomba
mnitukane usiku kucha mkilala nitukaneni mkiamka nitukaneni nimeshazoea
nilikuwa naumia mwanzo lkn sasa siumii tena ninacho waomba amjui
nimepata tabu gani na mwanangu kwaiyo kama anae wakosea ni mm na sio
mtoto wangu basi naomba mnitukane mm na umaya wangu msimuingize mwanangu
please please nawaomba sana kiroho safi