Ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho wakati walipokuwa
wakiuaga mwili wa
marehemu Rose Mwagala aliyepoteza maisha kutokana na kushambuliwa na nyuki.
marehemu Rose Mwagala aliyepoteza maisha kutokana na kushambuliwa na nyuki.
Watu mbalalimbali wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi alilozikwa Rose
Mwagala aliyekufa kwa kushamburiwa na nyuki Swaswa manispaa ya Dodoma.
Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa msiba wa marehemu Rose Mwagala
aliyekufa kutokana na kushambuliwa na nyuki walioweka makazi yao kwenye
paa la nyumba jirani na makazi yak