Baada ya kutokea kwenye kava la jarida la Vogue,Kanye West na Kim waliamua kumshukuru mhariri mkuu wa jarida hilo,Anna Wintour ambaye ameshambuliwa kwa kuwaweka kwenye kava hilo. Wawili hao waliungana na mhariri huyo kwa ajili ya dinner na Kim aliamua kuonesha vya ndani ya nguo zake kwa kigauni hiki.