Umesikia alichokifanya Ben Pol Dodoma?sikiliza kupitia You Heard ya leo March 07.
Huu
ni mtiririko wa matukio yanayomfikia Gossip Cop Soud Brown,leo tukio
lililofikishwa mezani kwake ni la Ben Pol kuchukua pesa ya show na kisha
kutoonekana kwenye show yenyewe iliyokuwa imeandaliwa na wanachuo
kutoka Dodoma,
Bonyeza play kusikiliza
Credit Millardayo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako