Basi la UDA likiwa limebebwa kwa juu katika eneo la tukio
Ajari mbaya iliyo husisha magari takribani 5 imetokea maeneo ya ubungo
mkabala na stendi ya mabasi ya mikoani ikihusisha magari ya abiria uda
na gari zingine ndogo mpaka sasa haijajulikana idadi sahihi ya watu
walio poteza maisha