Taswira: Matukio Mbalimbali ya Kampeni za Chadema Jimbo la Chalinze
Ally Bananga, mgombea wa Chadema Mathayo torongey na
viogozi wengine wakiwa katika kampeni Jimbo la Chalinze.
Mgombea
nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo CHADEMA ndugu Mathayo Mang'unda Torongey akiendelea na
mikutano ya Kampeni Jimboni Chalinze, Ijumaa Machi 28, 2014,