Van Persie ambaye alifunga hat trick iliyoipeleka Man United hatua ya
robo fainali alitolewa nje na machela katika mchezo huo katika dakika
za mwisho za huo, na leo hii baada ya kufanyiwa vipimo kiundani
imegundulika amepata majeruhi yatakayomuweka nje kwa muda wa wiki 4-6.
Kwa maana hiyo mdachi huyo atazikosa mechi zifuatazo
Mar 23: West Ham (A)
Mar 25: Man City (H)
Mar 29: Aston Villa (H)
Apr 1: Bayern Munich (H)
Apr 5: Newcastle (A)
Apr 9: Bayern Munich (A)
Apr 20: Everton (A)
Apr 26: Norwich (H