Siku
ya jana wakati PNC Shino alikuwa akijaribu kusaini kwenye account yake
ya facebook, alijikuta anashindwa kufanya hivyo, na watu siku nyingi
wameshaiiba na kuanza kupost vitu vyao, kuna status imewekwa na
kuwachukiza mashabiki wake.
Baada
ya ishu yake na Ostaz Juma, mashabiki wengi walikua upande wake na
kumlaumu Ostaz kutokana na kitendo alichokifanya, lakini baadae pnc
alitoa maelezo na kutetea mkate wake wa kila siku kwa Ostaz,
inavyoonekana mashabiki wake walichukizwa na hatua hiyo
Sasa jana mashabiki wake walipoona post ya iliyoandikwa kuwa ‘’kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji’’, wakaona PNC anawarushia madongo kwasababu waliongea sanaa na kumtetea, sasa hapo ndiyo mvua ya maneno ikamwangukia msanii huyo, na asiweze kufanya chochote ili ajitetee lakini alishindwa kwasababu account yake imeibiwa

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako