Hii
ni show ambayo pia inaingia kwenye kumbukumbu kwa kuwa ilikuwa na watu
wengi kiasi cha mpaka baadhi ya vipoza hewa A/C kushindwa kufanya kazi
yake ipasavyo kwa niaba ya mashuhuda waliokuwepo kwa show hiyo ambayo
imefanyika wikiendi iliyopita.
Madee
na Shilole ni miongoni mwa wasanii waliokuwa na muda mrefu ambao
pengine unaweza fika mwaka bila kufanya show Mtwara sasa Jumamosi ya
March 15 Watanzania wa Mtwara walipata burudani hiyo kwa pamoja kutoka
kwa Shilole na Madee sehemu ilikofanyika ni Makonde Royal Night Club.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.