A

A

Picha,Inaumiza,Inasikitisha Mtoto Wako wa Shule anapofariki Katika mazingira haya,Poleni Sana Wafiwa

Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Makongo,Priscus Mallya amefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na bajaji katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi maeneo ya bamaga. Source-gpl.