Picha zinazosumbua kwa sasa Instagram za Diva na King Crazy GK hizi hapa
Mapenzi yazidi kuchukua nafasi yake katika upande wa mwanadadiva
Loveness Love "Diva" kwani ameshindwa kujizuia na kuzidi kuonyesha hisia
zake kwa mpenzi wake aliyenaye kwa wakati huu King Crayz GK

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako